https://news.un.org/sw/story/2023/04/1160897
Makazi mapya kwa wakimbizi wa Kisomali yafunguliwa nchini Ethiopia:UNHCR | Habari za UN
Apr 11, 2023 - Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, likionya kuhusu mgogoro unaoendelea Somalia ambao umesababisha watu kukimbia makazi yao na kwenda...